Ticker

6/recent/ticker-posts

SHAMRA SHAMRA ZA MAADHIMISHO YA MIAKA 60 YA MAPINDUZI MATUKUFU YA ZANZIBAR

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi(katikati) akiongoza matembezi sambamba na Mazoezi ya Viungo yaliyoanzia Mnara wa Mapinduzi Square hadi Uwanja wa Amaan Wilaya ya Mjini,Mkoa wa Mjini Magharibi katika shamra shamra za maadhimisho ya miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar [Picha na Ikulu] 01/01/2024.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) na Mkewe Mama Mariam Mwinyi pamoja na Viongozi wengine akiwepo Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemedi Suleiman Abdulla (kulia) wakifanya mazoezi ya Viungo katika Uwanja wa Amaan baada ya kumaliza matembezi yaliyoanzia Mnara wa Mapinduzi Square hadi Uwanja wa Amaan Wilaya ya Mjini,Mkoa wa Mjini Magharibi katika shamra shamra za maadhimisho ya miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar [Picha na Ikulu] 01/01/2024.
Vijana wa Vikundi mbali mbali wakipita kumsalimia Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi pamoja na Viongozi wengine katika Uwanja wa Amaan baada ya kumaliza matembezi yaliyoanzia Mnara wa Mapinduzi Square hadi Uwanja wa Amaan Wilaya ya Mjini,Mkoa wa Mjini Magharibi katika shamra shamra za maadhimisho ya miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar [Picha na Ikulu] 01/01/2024.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi alipokuwa akitoa hutuba yake kwa wanamichezo baada ya matembezi yaliyoanzia Mnara wa Mapinduzi Square hadi Uwanja wa Amaan Wilaya ya Mjini,Mkoa wa Mjini Magharibi katika shamra shamra za maadhimisho ya miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar [Picha na Ikulu] 01/01/2024.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi cheti Ndg.Zulfa Seif Ali kutoka Pemba wakati wa utoaji wa zawadi kwa wanamichezo katika hafla ya matembezi na mazeozi ya Viungo yaliyoanzia Mnara wa Mapinduzi Square hadi Uwanja wa Amaan Wilaya ya Mjini,Mkoa wa Mjini Magharibi katika shamra shamra za maadhimisho ya miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar [Picha na Ikulu] 01/01/2024.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi cheti Ndg.Msafu Omar wa Amreff Zanzibar wakati wa utoaji wa zawadi kwa wanamichezo katika hafla ya matembezi na mazeozi ya Viungo yaliyoanzia Mnara wa Mapinduzi Square hadi Uwanja wa Amaan Wilaya ya Mjini,Mkoa wa Mjini Magharibi katika shamra shamra za maadhimisho ya miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar [Picha na Ikulu] 01/01/2024.

Post a Comment

0 Comments