Ticker

6/recent/ticker-posts

LOWASSA AFARIKI DUNIA


Waziri Mkuu mstaafu wa Tanzania Edward Lowassa (70) amefariki dunia leo Jumamosi Februari 10,2024  wakati akiendelea kupatiwa  matibabu katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI)  jijini Dar es Salaam.

Tangazo la kifo cha Lowassa kimetangazwa Makamu wa Rais wa Tanzania Dkt Philip Mpango.

Katika tangazo fupi alilolitoa kupitia televisheni ya taifa, Mpango amesema kuwa Lowassa  ambaye alikuwa Waziri Mkuu wa Tanzania mwaka 2005-2008 amefikwa na umauti katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete.


Post a Comment

0 Comments