Ticker

6/recent/ticker-posts

RAIS DKT. MWINYI ATEMBELEA SOKO LA SAMAKI MALINDI UNGUJA

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Mkurugenzi Idara ya Maendeleo ya Uvuvi Zanzibar Dkt.Salum Soud Hamad, akitowa maelezo ya uendeshaji wa Diko na Soko la Samaki Malindi Wilaya ya Mjni Unguja Jijini Zanzibar,wakati wa ziara yake kutembelea Soko hilo leo 26-2-2024, na kuagalia bei za Samaki katika soko hilo.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akitembelea Soko la Samaki Malindi Wilaya ya Mjini Unguja leo 26-2-2024, akiwa katika eneo la juu la soko hilo na kuangalia sehemu ya kushushia samaki inayotumiwa na Wavuv, akiwa katika ziara yake katika Mkoa wa Mjini Magharibi Ungujai.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akifuatilia mnada wa Samaki katika Diko na Soko la Samaki Malindi Wilaya ya Mjini Unguja leo 26-2-2024, na kununua samaki katika mnada huo, akiwa katika ziara yake kutembelea Soko hilo.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Mwananchi Bi. Kurthum Issa Noura Mkaazi wa Makadara aliyefika katika Soko la Malindi kwa ajili ya kununua samaki, wakati wa ziara yake kutembelea Soko la Samaki Malindi Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar leo 26-2-2024, kuangalia bei ya samaki katika sokom hilo.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Wavuvi na Wachuuzi wa Samaki katika Soko la Samaki Malindi Wilaya ya Mjini Unguja leo 26-2-2024, akiwa katika ziara yake katika Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja na (kulia kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe.Idrissa Kitwana Mustafa na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Uchumi wa Buluu na Uvuvi Zanzibar Mhe. Shaban Ali Othman, Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa, Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ Mhe. Masoud Ali Mohammed na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Ikulu Mhe. Ali Suleiman Ameir.(Picha na Ikulu)

Post a Comment

0 Comments