Ticker

6/recent/ticker-posts

RAIS DKT. MWINYI AZUNGUMZA NA UJUMBE WA KANISA LA KILUTHERI AFRIKA MASHARIKI (KKAM)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika mazungumzo na Ujumbe wa Uongozi wa Kanisa la Kilutheri Afrika Mashariki, ukiongozwa na Makamu Askofu Mkuu wa Kanisa la Kilutheri Afrika Mashariki (KKAM) Askofu Dkt.Philemon Langas Mollel (kulia kwa Rais) mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 28-2-2024.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Ujumbe wa Uongozi wa Kanisa la Kilutheri Afrika Mashariki ukiongozwa na Makamu Askofu Mkuu wa wa Kanisa hilo Askofu Dkt.Philemon Langas Mollel (kulia kwa Rais) mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 28-2-2024.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiagana na Makamu Askofu Mkuu wa Kanisa la Kilutheri Afrika Mashariki Askofu Dkt.Philemon Langas Mollel, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 28-2-2024.(Picha na Ikulu)

Post a Comment

0 Comments