Ticker

6/recent/ticker-posts

RAIS SAMIA AMUAPISHA BI.DORIS KALASA KUWA KATIBU TAWALA MKOA WA IRINGA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Ndugu Doris Ntuli Kalasa kuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Iringa, kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino tarehe 2 Februari, 2024 .

Post a Comment

0 Comments