Ticker

6/recent/ticker-posts

DKT. NCHIMBI AENDESHA KIKAO CHA SEKRETERIETI YA HALMASHAURI KUU CCM TAIFA

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk. Emmanuel John Nchimbi akiendesha Kikao cha Sekreterieti ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, kilichoketi Alhamis, Machi 14, 2024, Ofisi Ndogo za Makao Makuu ya CCM, Lumumba, jijini Dar Es Salaam.

Post a Comment

0 Comments