Ticker

6/recent/ticker-posts

RAIS DKT. MWINYI AJUMUIKA NA WANANCHI KATIKA FUTARI ILIYOANDALIWA NA SUPERDOOL, SERENA JIJINI DAR ES SALAAM.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kuwasalimia Wananchi, wakati wa hafla ya futari maalum iliyoandaliwa na Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Superdoll Ndg.Seif Ally Seif, iliyofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Serena Jijini Dar es Salaam leo 22-3-2024.(Picha na Ikulu)
WAGENI waalikwa katika futari maalum iliyoandaliwa na Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Superdoll Seif Ally Seif, iliyofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Serena Jijini Dar es Salaam, wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kuwasiliamia baada ya kumalizika kwa hafla hiyo iliyofanyika leo 22-3-2024.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akiagana na Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Superdoll Ndg.Seif Ally Seif, baada ya kumalizika kwa hafla ya futari maalum iliyofanyika katika ukumbi wa Serena Jijini Dar es Salaam 22-3-2024.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akijumuika na Viongozi wa Serikali,Masheikh na Wananchi katika kuitikia dua baada ya kumalizika kwa hafla ya futari maalum iliyoandaliwa na Kampuni ya Superdoll katika ukumbi wa Hoteli ya Serena Jijini Dar es Salaam leo 22-3-2024.(Picha na Ikulu)

Post a Comment

0 Comments