Ticker

6/recent/ticker-posts

RAIS SAMIA AMUAPISHA DKT. JAMES MATARAGIO KUWA NAIBU KATIBU MKUU WIZARA YA NISHATI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Dkt. James Peter Mataragio kuwa Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Ndogo Tunguu, Zanzibar tarehe 05 Machi, 2024.
Dkt. James Peter Mataragio akila kiapo cha kuwa Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Ndogo Tunguu, Zanzibar tarehe 05 Machi, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza mara baada ya kumuapisha  Dkt. James Peter Mataragio kuwa Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Ndogo Tunguu, Zanzibar tarehe 05 Machi, 2024.

Post a Comment

0 Comments