Ticker

6/recent/ticker-posts

SIMBA SC YACHAPWA NA AL AHLY 1-0, MCHEZO WA ROBO FAINAL CAFCL

NA EMMANUEL MBATILO, DAR ES SALAAM

KLABU ya Simba imeshindwa kutamba kwenye uwanja wake wa nyumbani mara baada ya kukubali kupokea kichapo cha bao 1-0 dhidi ya Al Ahly.

Katika mchezo huo wa mkondo wa kwanza Al Ahly walifanikiwa kupata bao la Mapema kupitia kwa Ahmed Kouka dakika ya 4 ya mchezo kipindi cha kwanza.

Timu hizo zitarudiana Aprili 5, 2024 ambapo Al Ahly kwenye mchezo huo atakuwa nyumbani mjini Cairo

Post a Comment

0 Comments