Ticker

6/recent/ticker-posts

RAIS SAMIA AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA MJASIRIAMALI MAANAYATA DUTT

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Mjasiriamali Maanayata Dutt ambaye pia ni mke wa muigizaji nguli wa filamu kutoka India Sanjay Dutt, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 06 Aprili, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuelezea kuhusu picha ya Mlima Kilimanjaro aliyomzawadia Mjasiriamali Maanayata Dutt ambaye pia ni mke wa muigizaji nguli wa filamu kutoka India Sanjay Dutt, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 06 Aprili, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Mjasiriamali Maanayata Dutt ambaye pia ni mke wa muigizaji nguli wa filamu kutoka India Sanjay Dutt, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 06 Aprili, 2024.

Post a Comment

0 Comments