Ticker

6/recent/ticker-posts

MAKAMU WA RAIS AFANYA MAZUNGUMZO NA UNHCR NA UNEP

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akifanya mazungumzo na Mwakilishi Mkaazi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi Nchni (UNHCR) Bi. Mahoua Parum’s pamoja na Mwakilishi wa Shirika la Mazingira la Umoja wa Mataifa (UNEP) Bi. Clara Makenya Ikulu Jijini Dar es salaam tarehe 15 Mei 2024.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akiagana na Mwakilishi Mkaazi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi Nchni (UNHCR) Bi. Mahoua Parum’s mara baada ya mazungumzo yaliyofanyika Ikulu Jijini Dar es salaam tarehe 15 Mei 2024.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akiagana Mwakilishi wa Shirika la Mazingira la Umoja wa Mataifa (UNEP) Bi. Clara Makenya mara baada ya mazungumzo yaliyofanyika Ikulu Jijini Dar es salaam tarehe 15 Mei 2024.

Post a Comment

0 Comments