Ticker

6/recent/ticker-posts

RAIS SAMIA SULUHU HASSAN AWASILI JIJINI SEOUL, JAMHURI YA KOREA KWA AJILI YA ZIARA RASMI YA KIKAZI


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Mtawala wa Mji wa Serikali wa Sejong, Mhe.  Kim Hyung- ryeol mara baada ya kuwasili katika uwanja wa Ndege wa Jeshi wa Seoul, Jamhuri ya Korea kwa ajili ya Ziara Rasmi ya Kikazi tarehe 31 Mei, 2024. Jiji hilo la Sejong ni Makao Makuu Mapya ya Korea Kusini na Jiji hilo lina mahusiano na Jiji la Dodoma ambalo ni Makao Makuu ya Serikali.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiteta jambo na Mtawala wa Mji wa Serikali wa Sejong, Mhe.  Kim Hyung- ryeol mara baada ya kuwasili katika uwanja wa Ndege wa Jeshi wa Seoul, Jamhuri ya Korea kwa ajili ya Ziara Rasmi ya Kikazi tarehe 31 Mei, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwasili katika uwanja wa Ndege wa Jeshi wa Seoul, Jamhuri ya Korea kwa ajili ya Ziara Rasmi ya Kikazi tarehe 31 Mei, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na viongozi mbalimbali mara baada ya kuwasili katika uwanja wa Ndege wa Jeshi wa Seoul kwa ajili ya Ziara Rasmi ya Kikazi katika Nchi ya Jamhuri ya Korea tarehe 31 Mei, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na baadhi ya Watanzania wanaoishi Jamhuri ya Korea mara baada ya kuwasili Jijini Seoul nchini humo tarehe 31 Mei, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimtazama mtoto mara baada ya kuwasili Jijini Seoul kwa ajili ya Ziara Rasmi ya Kikazi katika Nchi ya Jamhuri ya Korea tarehe 31 Mei, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akifurahia jambo na Wanadispora mara baada ya kuwasili Jijini Seoul kwa ajili ya Ziara Rasmi ya Kikazi katika Nchi ya Jamhuri ya Korea tarehe 31 Mei, 2024.

Post a Comment

0 Comments