Ticker

6/recent/ticker-posts

WAZIRI MKUU MGENI RASMI SWALA YA EID NA BARAZA LA EID KITAIFA

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Juni 17, 2024 ameswali swala ya Idd El-Adh’haa katika Msikiti wa Mfalme Mohamed VI BAKWATA, Kinondoni Dar es Salaam.

Pia Mheshimiwa Majaliwa amekuwa mgeni rasmi kwenye hafla ya Baraza la Kitaifa lililofanyika katika msikiti huo baada ya kumaliza swala ya Idd.

Baadhi ya Viongozi wengine walioshiriki swala hiyo pamoja na baraza la Idd ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (TAMISEMI) Mohamed Mchengerwa, Naibu Waziri wa Fedha Hamad Hassan Chande na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila

Post a Comment

0 Comments