MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Ndg. Stephen Wassira ametembelea kaburi la Hayati Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere Butiama, leo Februari 3, 2025 akiwa ziarani mkoani Mara ambapo pia amezungumza na wazee wa Butiama.
HABARI
Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) imemvua uanachama aliyekuwa Makamu wa R…
Read more
0 Comments