Ticker

6/recent/ticker-posts

BALOZI KOMBO ATEMBELEA MIRADI YA MAENDELEO INAYOTEKELEZWA NA WIZARA YAKE JIJINI ARUSHA

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Masharik, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.) ametembelea Miradi ya maendeleo inayotekelezwa na Wizara yake na taasisi zilizo chini ya Wizara jijini Arusha.

Miradi hiyo ni pamoja na ujenzi wa Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa Mount Kilimanjaro (MKICC) kwenye eneo la Kijenge na ujenzi wa jengo la ofisi la Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu kwenye eneo la Lakilaki, Arusha.

Post a Comment

0 Comments