Ticker

6/recent/ticker-posts

King Bet kufunga msimu na promosheni ya BUTUA kwa BUKU


Katika jitihada za Kingbet kuwapa wateja wake huduma bora zaidi imezindua rasmi kampeni mpya inayojulikana kama “Butua kwa BUKU” promosheni yenye zawadi kubwa na zenye thamani kwa wateja wake wapya na wa zamani.

Kupitia kampeni hii, wachezaji wanapata nafasi ya kushinda zawadi mbalimbali ikiwemo:

👉🏼 Bajaji mpya kabisa

👉🏼 Smart TV

👉🏼Friji

👉🏼Simu janja (Smartphones)

Kitu kinachovutia zaidi ni kwamba unahitaji dau la kuanzia 1,000 tu ili kuingia kwenye droo ya ushindi hii inaifanya promosheni hii kuwa rahisi kushiriki kwa kila mtu.

Jinsi ya Kushiriki na kushinda ni rahisi sana kwenye promosheni hii ya "BUTUA KWA BUKU"

Tembelea www.Kingbet.co.tz kisha Jisajili au ingia kwenye akaunti yako na suka jamvi lako kwenye mpira wa miguu au basketball kwa dau la kuanzia 1,000 na zaidi.

Post a Comment

0 Comments