Naibu Waziri wa Fedha, Mhe. Mhandisi Mshamu Ali Munde (Mb), akieleza madhumuni ya ziara yake alipokutana na kufanya mazungumzo na Viongozi wa Wilaya ya Ngorrongoro, ukiongozwa na Mkuu wa Wilaya hiyo Mhe. Luteni Kanali Robert Augustino Kakomangile, katika Ofisi za Wilaya ya Ngorongoro Mkoani Arusha.
Naibu Waziri wa Fedha, Mhe. Mhandisi Mshamu Ali Munde (Mb), akieleza madhumuni ya ziara yake alipokutana na kufanya mazungumzo na Viongozi wa Wilaya ya Ngorrongoro, ukiongozwa na Mkuu wa Wilaya hiyo Mhe. Luteni Kanali Robert Augustino Kakomangile, katika Ofisi za Wilaya ya Ngorongoro Mkoani Arusha.
Mkuu wa Wilaya ya Ngorongoro, Mhe. Luteni Kanali Robert Augustino Kakomangile, akitoa taarifa ya Wilaya hiyo, wakati wa ziara ya Naibu Waziri wa Fedha, Mhe. Mhandisi Mshamu Ali Munde (Mb), Wilayani hapo inayolenga kujionea uhitaji wa Kituo cha kutoa huduma za Forodha.
Naibu Waziri wa Fedha, Mhe. Mhandisi Mshamu Ali Munde (Mb), akisani kitabu cha wageni alipowasili Wilaya ya Ngorongoro kwa ziara ya kikazi, kujionea uhitaji wa Kituo cha kutoa huduma za Forodha. Kulia ni Mkuu wa Wilaya hiyo Mhe. Luteni Kanali Robert Augustino Kakomangile.
Naibu Waziri wa Fedha, Mhe. Mhandisi Mshamu Ali Munde (Mb), akiongoza kikao kati yake na Mkuu wa Wilaya ya Ngorongoro Mhe. Luteni Kanali Robert Augustino Kakomangile, alipowasili kujionea uhitaji wa Kituo cha kutoa huduma za Forodha katika eneo la Loliondo na Sale, mkoani Arusha.
Naibu Waziri wa Fedha, Mhe. Mhandisi Mshamu Ali Munde (Mb), akisalimiana na viongozi wa Wilaya ya Ngorongoro mkoani Arusha, alipowasili kwa ziara ya kikazi, kujionea uhitaji wa Kituo cha kutoa huduma za Forodha katika eneo la Loliondo na Sale, Wilayani hapo.
Naibu Waziri wa Fedha, Mhe. Mhandisi Mshamu Ali Munde (Mb), akikaribishwa na Mkuu wa Wilaya ya Ngorongoro Mhe. Luteni Kanali Robert Augustino Kakomangile, alipowasili kujionea uhitaji wa Kituo cha kutoa huduma za Forodha katika eneo la Loliondo na Sale, mkoani Arusha.
Naibu Waziri wa Fedha, Mhe. Mhandisi Mshamu Ali Munde (Mb), akiteta jambo na baadhi ya viongozi wa Wilaya ya Ngorongoro mkoani Arusha, alipowasili kwa ziara ya kikazi, kujionea uhitaji wa Kituo cha kutoa huduma za Forodha katika eneo la Loliondo na Sale, Wilayani hapo.
(Picha na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini, Wizara ya Fedha)










0 Comments