Ticker

6/recent/ticker-posts

DKT. TULIA AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA VIONGOZI WAKUU WA BENKI YA NMB JIJINI DODOMA


Naibu Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson akisalimiana na Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya NMB, Bi. Ruth Zaipuna alipomtembelea leo Ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma, Septemba 3, 2021


Naibu Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson akizungumza na Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya NMB, Bi. Ruth Zaipuna alipomtembelea leo Ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma, Septemba 3, 2021


Naibu Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson katika picha ya pamoja na Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya NMB, Bi. Ruth Zaipuna alipomtembelea leo Ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma, Septemba 3, 2021


Naibu Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson (katikati) katika picha ya pamoja na ugeni kutoka Benki ya NMB ulioongozwa na Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki hiyo, Bi. Ruth Zaipuna (wanne kulia) walipomtembelea leo Ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma, Septemba 3, 2021


Naibu Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson (katikati) akizungumza na ugeni kutoka Benki ya NMB wakiongozwa na Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya NMB, Bi. Ruth Zaipuna (kushoto kwake) walipomtembelea leo Ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma, Septemba 3, 2021.

(PICHA NA OFISI YA BUNGE)

Post a Comment

0 Comments