Ticker

6/recent/ticker-posts

WAZIRI MKUU MAJALIWA ASHIRIKI MAZISHI YA MJOMBA WAKE WILAYANI RUANGWA


Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akishiriki katika mazishi ya mjomba wake, Shaban Issa kwenye makaburi ya Nandagala wilayani Ruangwa, Septemba 3, 2021. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akishiriki katika sala ya kumuombea marehemu mjomba wake, Shabaan Issa kabla ya mazishi yaliyofanyika katika kijiji cha Nandagala wilayani Ruangwa, Septemba 3, 2021. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Post a Comment

0 Comments