Ticker

6/recent/ticker-posts

MAFUNZO YA SHERIA YA UDHIBITI UZITO WA MAGARI YA MWAKA 2016 NA KANUNI ZAKE ZA MWAKA 2018


Katibu Tawala Msaidizi mkoa wa Morogoro, Mhandisi Ezron Kilamhama, akifungua Semina ya mafunzo kwa wadau wa usafirishaji (hawapo pichani), kuhusu Sheria ya Udhibiti Uzito wa Magari ya mwaka 2016 na kanuni zake za mwaka 2018 inayofanyika katika ukumbi wa JKT Umwema mkoni Morogoro.


Kutoka kushoto ni Meneja wa Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) mkoa wa Morogoro, Mhandisi Alinanuswe Razack akifuatiwa na Meneja wa TANROADS mkoa wa Pwani, Mhandisi Baraka Mwambage, wakifuatilia moja ya mada katika semina ya mafunzo kwa wadau wa usafirishaji kuhusu Sheria ya Udhibiti Uzito wa Magari ya mwaka 2016 na kanuni zake za mwaka 2018 inayofanyika katika ukumbi wa JKT Umwema mkoani Morogoro.


Baadhi ya washiriki wa semina ya mafunzo ya Sheria ya Udhibiti Uzito wa Magari ya mwaka 2016 na kanuni zake za mwaka 2018 wakifuatilia moja ya mada katika semina inayofanyika katika ukumbi wa JKT Umwema mkoani Morogoro


Baadhi ya washiriki wa semina ya mafunzo kwa wadau wa usafirishaji kuhusu Sheria ya Udhibiti Uzito wa Magari ya mwaka 2016 na kanuni zake za mwaka 2018 wakimsikiliza mtoa mada katika semina inayofanyika katika ukumbi wa JKT Umwema mkoani Morogoro


Washiriki wa semina ya mafunzo kwa wadau wa usafirishaji kuhusu Sheria ya Udhibiti Uzito wa Magari ya mwaka 2016 na kanuni zake za mwaka 2018 inayofanyika katika ukumbi wa JKT Umwema mkoani Morogoro wakiwa kwenye picha ya pamoja na mgeni rasmi Mhandisi Ezron Kilamhama, Katibu Tawala Msaidizi mkoa wa Morogoro.

Picha na WUU

Post a Comment

0 Comments