Ticker

6/recent/ticker-posts

RAIS MHE DKT. MWINYI AZINDUA MIRADI MINNE YA JESHI LA MAGEREZA KINGOLWIRA MOROGORO LEO.


RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi na Mkewe Mama Mariam Mwinyi , wakizungumza na kubadilisha mawazo na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe.George Simbachawene na Kamishna Jenerali wa Magereza Tanzania Suleiman M.Mzee, baada ya kumalizika kwa hafla ya Uzinduzi wa Miradi Minne ya Jeshi la Magereza Gereza la Kingolwira Morogoro leo 15-10-2021.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwahutubia Wananchi na Askari wa Jeshi la Magereza katika hafla ya Uzinduzi wa Miradi Minne ya Jeshi kilo katika Gereza la Kingolwira Morogoro leo 15-10-2021.(Picha na Ikulu)

MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi akimsikiliza Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe. George Simbachawene akizungumza katika ya Uzinduzi wa Miradi Minne ya Jeshi la Magereza Gereza la Kingolwira Mkoa wa Morogoro, iliozinduliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi na (kulia ) Kamishna Jenerali wa Magereza Tanzania Suleiman M.Mzee, hafla hiyo imefanyika katika viwanja vya gereza hilo leo 15-10-2021.(Picha na Ikulu)

WAGENI Waalikwa katika hafla ya Uzinduzi wa Miradi Minne ya Jeshi la Magereza Kingolwira Morogoro wakimsiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) akihutubia na kuifungua Miradi hiyo leo 15-10-2021 katika viwanja vya gereza hilo.(Picha na Ikulu)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi na Mkewe Mama Mariam Mwinyi wakitembelea Mradi wa Nyumba za Makaazi ya Watumishi wa Jeshi la Magereza baada ya uzinduzi huo uliofanyika leo 15-10-2021.(Picha na Ikulu)

Post a Comment

0 Comments