Ticker

6/recent/ticker-posts

RAIS SAMIA AHUTUBIA WANANCHI WA MOSHI MJINI


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiwasili katika Uwanja wa Chuo Kikuu cha Ushirika Moshi kwa ajili ya kuhutubia Mkutano wa Hadhara Wananchi wa Halmashauri ya Manispaa ya Moshi Mjini Mkoani Kilimanjaro


Wananchi wa Halmashauri ya Manispaa ya Moshi Mjini Mkoani Kilimanjaro, wakimsikiliza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, alipokua akiwahutubia mkutano wa Hadhara katika Uwanja wa Chuo Kikuu cha Ushirika Moshi leo Octoba 15,2021. Mhe. Rais Samia yupo Mkoani Kilimanjaro kwa ajili ya kutembelea, kukagua na kuzindua miradi mbalimbali ya maendeleo ya Wananchi.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akihutubia mkutano wa Hadhara Wananchi wa Halmashauri ya Manispaa ya Moshi Mjini katika Uwanja wa Chuo Kikuu cha Ushirika Moshi leo Octoba 15,2021. Mhe. Rais Samia yupo Mkoani Kilimanjaro kwa ajili ya kutembelea, kukagua na kuzindua miradi mbalimbali ya maendeleo ya Wananchi.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiagana na Viongozi na Wananchi wa Mkoa wa Kilimanjaro baada ya kuhutubia Mkutano wa Hadhara katika Uwanja wa Chuo Kikuu cha Ushirika Moshi Mkoani Kilimanjaro leo Octoba 15,2021. Mhe. Rais Samia yupo Mkoani Kilimanjaro kwa ajili ya kutembelea, kukagua na kuzindua miradi mbalimbali ya maendeleo ya Wananchi.

PICHA NA IKULU.

Post a Comment

0 Comments