Ticker

6/recent/ticker-posts

SIMBA SC WAKABIDHIWA ZAWADI ZA UBINGWA WA LIGI KUU TANZANIA BARA 2020/2021/ JOHN BOCCO MCHEZAJI BORA WA MSIMU


Waziri Mkuu wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa akimkabidhi CEO wa klabu ya Simba Sc Barbara Gonzalez mfano wa hundi ya Tsh. 100 milioni kama zawadi ya baada ya kushinda ubingwa wa Ligi Kuu 2020/21.Hafla hiyo ya utoaji tuzo kwa wachezaji waliofanya vizuri msimu 2020/2021 umefanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Mwalimu Nyerere (JNICC) leo Jijini Dar es Salaam.

Mshambuliaji wa klabu ya Simba John Bocco ameshinda tuzo ya TFF ya mfungaji bora wa ligi, akifunga magoli 16 msimu wa 2020/2021.Hafla hiyo ya utoaji tuzo kwa wachezaji waliofanya vizuri msimu 2020/2021 umefanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Mwalimu Nyerere (JNICC) leo Jijini Dar es Salaam Kipa wa klabu ya Simba Sc Aishi Salum Manula akipokea tuzo ya kipa bora wa msimu wa 2020/2021.Hafla hiyo ya utoaji tuzo kwa wachezaji waliofanya vizuri msimu 2020/2021 umefanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Mwalimu Nyerere (JNICC) leo Jijini Dar es Salaam Kocha Bora wa msimu 2020/21, kocha wa klabu ya Simba Didier Gomes Da Rosa akipokea tuzo ya kocha bora wa msimu wa 2020/2021. Hafla hiyo ya utoaji tuzo kwa wachezaji waliofanya vizuri msimu 2020/2021 umefanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Mwalimu Nyerere (JNICC) leo Jijini Dar es Salaam Mchezaji wa Klabu ya Simba Sc Muhamed Hussein akipokea tuzo ya beki bora wa msimu wa 2020/2021.Hafla hiyo ya utoaji tuzo kwa wachezaji waliofanya vizuri msimu 2020/2021 umefanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Mwalimu Nyerere (JNICC) leo Jijini Dar es Salaam Mhamasishaji wa timu za soka za taifa (Tanzania) Bongozozo ameshinda tuzo ya mhasishaji bora wa TFF, akiwabwaga aliyekuwa msemaji na Mhasishaji wa klabu ya Simba ambaye kwasasa ni Mhamasishaji wa Yanga Haji Manara na Afisa Habari wa Ruvu Shooting Masau Bwire. Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Kassim Majaliwa akimkabidhi tuzo ya mchezaji bora wa Msimu 2020/2021 John Bocco. Hafla hiyo ya utoaji tuzo kwa wachezaji waliofanya vizuri msimu 2020/2021 umefanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Mwalimu Nyerere (JNICC) leo Jijini Dar es Salaam. CEO wa klabu ya Simba Sc Barbara Gonzalez akipokea tuzo ya Kiungo bora wa Msimu wa 2020/2021 kwa niaba ya mchezaji wa zamani wa Simba Sc Clatous Chota Chama.Hafla hiyo ya utoaji tuzo kwa wachezaji waliofanya vizuri msimu 2020/2021 umefanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Mwalimu Nyerere (JNICC) leo Jijini Dar es Salaam.

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Kassim Majaliwa akizungumza katika hafla ya kukabidhi tuzo kwa wachezaji waliofanya vizuri katika msimu wa 2020/2021.Hafla hiyo ya utoaji tuzo kwa wachezaji waliofanya vizuri msimu 2020/2021 umefanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Mwalimu Nyerere (JNICC) leo Jijini Dar es Salaam.

*************************

Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania leo limeandaa hafla ya kukabidhi zawadi kwa wachezaji na wa mpira wa miguu waliofanya vizuri katika msimu wa 2020/2021 uliofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa kimataifa wa Mwalimu Nyerere (JNICC) Jijjini Dar es Salaam.

Katika hafla hiyo Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Kassim Majaliwa amekuwa mgeni rasmi na kukabidhi zawadi kwa timu iliyofanya vizuri na kuchukua ubingwa wa Ligi kuu.

Post a Comment

0 Comments