Ticker

6/recent/ticker-posts

VODACOM TANZANIA WAZINDUA VODASHOP JIJINI MBEYA

Mkuu wa Wilaya ya Mbeya Dk. Rashid Chuachua akikata utepe kuashiria ufunguzi wa Duka la Vodashop jijini Mbeya ikiwa ni maadhimisho ya wiki ya huduma kwa wateja. Ufunguzi wa duka hilo ni moja ya mikakati ya Vodacom Tanzania Plc kuhakikisha inaleta huduma karibu na wateja wake. Kulia ni Mkurugenzi wa Biashara Vodacom Tanzania Plc Linda Riwa, Mkuu wa mauzo wa Kampuni hiyo Nyanda za juu Kusini Ezekiel Nungwi (mwenye shati jeupe) na kushoto ni Diwani wa kata ya Sisimba Josephine Qamunga.

Post a Comment

0 Comments