Ticker

6/recent/ticker-posts

KAMPUNI YA AGRICOM AFRICA LTD ILIVYONOGESHA MASHINDANO YA SHIMIWI MKOANI MOROGORO,YAKABIDHIWA KOMBE LA HESHIMA YA UDHAMINI
Mwenyekiti WA SHIMIWI akimvisha Mtendaji Mkuu wa AGRICOM AFRICA LTD medali maalumu ya mdhamini mkuu wa Mashindano ya SHIMIWI 2021 yaliyomalizika Jana mjini Morogoro.
Mwenyekiti WA SHIMIWI akimkabidhi Mtendaji Mkuu wa AGRICOM AFRICA LTD kombe maalumu la mdhamini mkuu wa Mashindano ya SHIMIWI 2021 yaliyomalizika Jana mjini Morogoro

Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo. Mhe, Innocent Bashungwa akikabidhi Kadi ya umiliki wa Trekta mkulima aliyenunua Trekta Kwa ofa maalumu ya kipindi cha michezo ya SHIMIWI yaliyomalizika Jana mjini Morogoro Chini ya udhamini wa Agricom Africa ltd

Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo. Mhe, Innocent Bashungwa akizungumza jambo na Viongozi waandamizi wa Kampuni ya Agricom Africa ltd

Waziri Bashungwa,Mkuu wa mkoa wa Morogoro Mh. Martin Shigela pamoja na Mkuu wa wilaya ya Morogoro Mhe. Albert Msando, wakihakiki na kumkabidhi trekta mteja wa Agricom Africa ltd ambaye ndiye mdhamini mkuu wa SHIMIWIWaziri Bashungwa akiwasha trekta alilonunua mkulima wa Dakawa kutokea Agricom Africa ltd wakati wa mashindano ya SHIMIW,ambapo Agricom Africa ltd ndiye mdhamini mkuu wa Mashindano ya SHIMIWI kwa mwaka 2021.

Baadhi yawafanyakazi wa Agricom Africa wakiwa na baadhi ya Wateja waliofika kununua Zana za kilimo kwenye mashindano ya wizara zote za serikali SHIMIWI.yalifanyika mjini Morogoro.
 
Mwenyekiti WA SHIMIWI akimvisha Mtendaji Mkuu wa AGRICOM AFRICA LTD medali maalumu ya mdhamini mkuu wa Mashindano ya SHIMIWI 2021 yaliyomalizika Jana mjini Morogoro.
Mwenyekiti WA SHIMIWI akimkabidhi Mtendaji Mkuu wa AGRICOM AFRICA LTD kombe maalumu la mdhamini mkuu wa Mashindano ya SHIMIWI 2021 yaliyomalizika Jana mjini Morogoro

Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo. Mhe, Innocent Bashungwa  akikabidhi Kadi ya umiliki  wa Trekta mkulima aliyenunua Trekta Kwa ofa maalumu ya kipindi cha michezo ya SHIMIWI yaliyomalizika Jana mjini Morogoro Chini ya udhamini wa Agricom Africa ltd
Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo. Mhe, Innocent Bashungwa  akizungumza jambo na Viongozi waandamizi wa Kampuni ya Agricom Africa ltd

 Waziri Bashungwa,Mkuu wa mkoa wa Morogoro Mh. Martin Shigela pamoja na Mkuu wa wilaya ya Morogoro Mhe. Albert Msando, wakihakiki na kumkabidhi trekta mteja wa Agricom Africa ltd ambaye ndiye mdhamini mkuu wa SHIMIWI

Waziri Bashungwa akiwasha trekta alilonunua mkulima wa Dakawa kutokea Agricom Africa ltd wakati wa mashindano ya SHIMIW,ambapo Agricom Africa ltd ndiye mdhamini mkuu wa Mashindano ya SHIMIWI kwa mwaka 2021.
Baadhi yawafanyakazi wa Agricom Africa wakiwa na  baadhi ya Wateja  waliofika kununua Zana za kilimo kwenye mashindano ya wizara zote za serikali SHIMIWI.yalifanyika mjini Morogoro.

Post a Comment

0 Comments