Ticker

6/recent/ticker-posts

UZINDUZI WA TAWI LA BENKI YA CRDB MICHENZANI NA HUDUMA ZA ISLAMIC BANKING


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akisalimiana na Viongozi mbali mbali alipowasili katika viwanja vya Michenzani Mall Jijini Zanzibar leo kufungua tawi la Benki ya CRDB na huduma za Islamic Banking.[Picha na Ikulu] 18/11/2021.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (wa pili kushoto) akipokea cheti cha kupongezi kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji wa CRDB Benk Bw.Al-Majid Mussa Nsekela (kulia) kwa kutimiza mwaka mmoja wa Uongozi wake wakati alipowasili katika Ufunguzi wa Tawi la Benki ya CRDB na huduma za Islamic Banking Michenzani Mall leo (kushoto) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Fedha na Mipango Zanzibar Mhe Jamal Kassim Ali na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya CRDB Benki Bw Ally Laay.[Picha na Ikulu] 18/11/2021.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akipokea picha inayosomeka Uzinduzi wa Tawi la Benki ya CRDB Michenzani na huduma za Islamic Banking zimezinduliwa rasmi kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji wa CRDB Benk Bw.Al-Majid Mussa Nsekela hafla iliyofayila leo katika Jengo la Michenzani Mall jijini Unguja.[Picha na Ikulu] 18/11/2021.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (wa pili kushoto) akikata utepe kama ishara ya Ufunguzi wa Tawi la Benki ya CRDB na huduma za Islamic Banking Michenzani Mall jijini Zanzibar leo (kushoto) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Fedha na Mipango Zanzibar Mhe Jamal Kassim Ali (wa pili kulia) Mwenyekiti wa Bodi ya wakurugenzi ya CRDB Benki Bw Ally Laay akifuatiwa na Mkurugenzi Mtendaji wa CRDB Benk Bw.Al-Majid Mussa Nsekela.[Picha na Ikulu] 18/11/2021.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) alipokuwa akitoa hutuba yake ya Ufunguzi wa Tawi la Benki ya CRDB na huduma za Islamic Banking Michenzani Mall katika Ukumbi wa Jengo la Michenzani Mall jijini Unguja .[Picha na Ikulu] 18/11/2021.

Baadhi ya waalikwa waliohudhuria katika hafla ya Ufunguzi wa Tawi la Benki ya CRDB na huduma za Islamic Banking Michenzani Mall,wakimsikiliza mgeni rasmi Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) alipokuwa akitoa hutuba yake katika Ukumbi wa Jengo la Michenzani Mall jijini Unguja .[Picha na Ikulu] 18/11/2021.

Post a Comment

0 Comments