Ticker

6/recent/ticker-posts

WAZIRI MKUU AFUNGUA MAFUNZO KWA WATENDAJI WA KATA NA VIJIJI, RUANGWA MKOA WA LINDI

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza wakati alipofungua mafunzo kwa Watendaji wa kata na vijiji yanayoendeshwa kwa ushirikiano kati ya Jeshi la Polisi na Taasisi ya Hanns Zaidel Foundation kwenye ukumbi wa Narungombe, Ruangwa, Novemba 22, 2021. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Baadhi ya washiriki wa mafunzo kwa watendaji wa kata na vijiji yanayoendeshwa kwa ushirikiano kati ya Jeshi la Polisi na Taasisi ya Hanns Zaidel Foundation wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipofungua mafunzo hayo kwenye ukumbi wa Narungombe, Ruangwa, Novemba 22, 2021. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)


Post a Comment

0 Comments