Ticker

6/recent/ticker-posts

MUONEKANO WA BARABARA YA NEW BAGAMOYO KUTOKA MOROCCO HADI MWENGE
Muonekano wa Barabara ya New Bagamoyo kutoka Morocco hadi Mwenge yenye urefu wa kilometa 4.3 iliyojengwa kwa njia nne kwa ufadhili wa Serikali ya Japani kama inavyoonekana pichani mara baada ya kufunguliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan leo tarehe 05 Desemba, 2021. PICHA NA IKULU

Post a Comment

0 Comments