Ticker

6/recent/ticker-posts

DKT.ANETH AWASILISHA MADA JUU YA UBORESHAJI WA MITAALA YA ELIMU KATIKA MKUTANO WA REDEOA


*************************

Mkurugenzi Mkuu Taasisi ya Elimu Tanzania (TET) Dkt. Aneth Komba aliwasilisha mada juu ya uboreshaji wa Mitaala ya Elimu ya Awali, Msingi, Sekondari na Elimu ya Ualimu katika Mkutano Mkuu wa Maafisa Elimu wa Mikoa na Halmashauri nchini(REDEOA) .

Mkutano huo ulifanyika katika ukumbi Lush Garden Jijini Arusha kuanzia tarehe 24/ 1 na kumalizika jana tarehe 28/1/2022

Baada ya wasilisho hilo kutoka kwa Dkt.Komba Maafisa Elimu hao walipata nafasi ya kutoa maoni yao juu ya uboreshwaji wa Mitaala hiyo.

Zoezi hili la ukusanyaji wa maoni linatarajiwa kukamilika tarehe 31/01/2022 ambapo mchakato wa kuboresha Mitaala itachukua muda wa miaka 3 na Mitaala mipya inatarajiwa kuwa darasani mwaka 2025.

Post a Comment

0 Comments