Ticker

6/recent/ticker-posts

MAKAMU WA RAIS DKT.MPANGO ASHIRIKI KUSIMIKWA KWA ASKOFU WA ANGLIKANA


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango akishiriki ibada ya kuwekwa wakfu na kusimikwa kwa Askofu wa Nne wa Dayosisi ya Western Tanganyika Askofu Emmanuel Charles Bwatta iliofanyika katika kanisa la Anglikana la Mtakatifu Andrea lililopo Kasulu mkoani Kigoma. Januari 30,2022.


Askofu Mkuu wa Kanisa la Anglikana Tanzania Maimbo Mndolwa akimuweka Wakfu wa kuwa Askofu wa Anglikana Emmanuel Charles Bwatta ibada iliofanyika katika kanisa la Anglikana la Mtakatifu Andrea lililopo Kasulu mkoani Kigoma. Januari 30,2022.


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango akitoa salamu za serikali kwa niaba ya Rais Samia Suluhu Hassan wakati wa Ibada ya kuwekwa wakfu na kusimikwa kwa Askofu wa Nne wa Dayosisi ya Western Tanganyika Askofu Emmanuel Charles Bwatta iliofanyika katika kanisa la Anglikana la Mtakatifu Andrea lililopo Kasulu mkoani Kigoma. Januari 30,2022.


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango akiwa katika picha ya pamoja na Askofu Mkuu wa Kanisa la Anglikana Tanzania na Maaskofu wa Dayosisi Mbalimbali na Maaskofu wa Kanisa Katoliki mara baada ya kumalizika ibada ya kuwekwa wakfu na kusimikwa kwa Askofu wa nne wa Dayosisi ya Western Tanganyika Askofu Emmanuel Charles Bwata iliofanyika katika kanisa la Anglikana la mtakatifu Andrea lililopo Kasulu mkoani Kigoma. Januari 30,2022.


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango akiagana na Maaskofu wastaafu wa Kanisa la Anglikana Tanzania mara baada ya kumalizika kwa ibada ya kuwekwa wakfu na kusimikwa kwa Askofu wa nne wa Dayosisi ya Western Tanganyika Askofu Emmanuel Charles Bwata iliofanyika katika kanisa la Anglikana la mtakatifu Andrea lililopo Kasulu mkoani Kigoma. Januari 30,2022.

Post a Comment

0 Comments