Ticker

6/recent/ticker-posts

MATUKIO KATIKA PICHA:MAKAMU WA RAIS AKIONDOKA KUELEKEA MALAWI


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango akiagana na viongozi mbalimbali katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere Dar es salaam wakati akiondoka nchini kuelekea Lilongwe nchini Malawi kumuwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan katika Mkutano wa Dharura wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Nchi wananchama wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini Mwa Afrika (SADC) utakaofanyika tarehe 12 Januari 2022.

Post a Comment

0 Comments