Ticker

6/recent/ticker-posts

RAIS MHE. SAMIA SULUHU HASSAN, AFANYA ZIARA YA KIKAZI YA SIKU MOJA NCHINI MSUMBIJI.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Rais Philipe Nyusi wa Msumbiji alipowasili katika uwanja wa ndege wa Pemba nchini Msumbiji kwa ajili ya ziara ya kikazi ya siku moja Nchini humo leo tarehe 28 Januari 2022 Nchini humo.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiwa na Mwenyeji wake Rais Philipe Nyusi wa Msumbiji alipowasili katika uwanja wa ndege wa Pemba nchini Msumbiji kwa ajili ya ziara ya kikazi ya siku moja Nchini humo leo tarehe 28 Januari 2022 Nchini humo..

Rais Philipe Nyusi wa Msumbiji akimtambulisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan kwa Viongozi mbalimbali wa Serikali ya Msumbiji alipowasili katika Uwanja wa ndege wa Pemba nchini Msumbiji kwa ajili ya ziara ya kikazi ya siku moja Nchini humo leo tarehe 28 Januari 2022 Nchini humo.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiangalia Kikundi cha ngoma ya asili ya Msumbiji alipowasili katika uwanja wa ndege wa Pemba nchini Msumbiji kwa ajili ya ziara ya kikazi ya siku moja Nchini humo leo tarehe 28 Januari 2022 Nchini humo.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Rais Philipe Nyusi wa Msumbiji alipowasili katika mji wa Pemba Nchini Msumbiji kwa ajili ya ziara ya kikazi ya siku moja Nchini humo leo tarehe 28 Januari 2022 Nchini humo.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisindikizwa na Mwenyeji wake Rais Philipe Nyusi wa Msumbiji alipokua akiondoka katika Uwanja wa ndege wa Pemba nchini Msumbiji baada ya kukamilisha ziara yake ya kikazi ya siku moja Nchini humo leo tarehe 28 Januari 2022 Nchini humo.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Vyombo mbalimbali vya Habari Nchini Msumbiji kufuatia ziara yake ya kikazi ya siku moja nchini humo leo tarehe 28 Januari 2022. Kulia ni Rais Philipe Nyusi wa Msumbiji.

Post a Comment

0 Comments