Ticker

6/recent/ticker-posts

RAIS MHE.DKT. HUSSEIN MWINYI AWASILI KISIWANI PEMBA LEO.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Maria Mwinyi wakiwasili Uwanja wa Ndege wa Chakechake Pemba na kusalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba Mhe Matar Zahor Masoud na Mwenyekiti wa CCM wa Mkoa huo, akiwa katika ziara ya Kikazi ikiwa ni shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 58 ya Mapinduzi ya Zanzibar kwa ajili ya Uzinduzi wa Miradi ya Maendeleo Kisiwani Pemba.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Viongozi wa Serikali alipowasili Uwanja wa Ndege wa Chakechake Pemba akiwa katika ziara ya Kikazi ikiwa ni shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 58 ya Mapinduzi ya Zanzibar,kwa ajili ya uzindua Miradi ya Maendeleo Kisiwani Pemba kesho 3-1-2022.(Picha na Ikulu)

Post a Comment

0 Comments