Ticker

6/recent/ticker-posts

MKE WA RAIS MAMA MARIAM MWINYI AZINDUA TAASISI YAKE YA ZANZIBAR MAISHA BORA FOUNDATION


MKE wa Rais wa Zanzibar ambae pia ni Mwenyekiti wa Zanzibar Maisha Bora Foundation Mama Mariam Mwinyi akiwasalimia Wananchi katika mitaa ya michezani wakati wa Matembezi ya Uzinduzi wa Taasisi yake ya Zanzibar Maisha Bora Foundation (kulia kwake) Mke wa Rais Mstaaf wa Tanzania Mama Salma Kikwete na Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said na (kushoto kwake) Mke wa Waziri Mkuu Mama Mary Majaliwa wakiwa katika matembezi hayo, yalioazia Kiembesamaki na kumalizia katika viwanja vya Mao Zedung.(Picha na Ikulu)

MKE wa Rais wa Zanzibar ambae pia ni Mwenyekiti wa Zanzibar Maisha Bora Foundation Mama Mariam Mwinyi akiwa katika matembezi ya Uzinduzi wa Taasisi yake pamoja na Wake wa Viongozi (kulia kwake) Mama Anna Mkapa, Mama Salma Kikwete na Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said na (kushoto kwake) Mama Siti Mwinyi, Mama Mary Majaliwa, wakishiriki matembezi ya Uzinduzi wa Taasisi hiyo (Picha na Ikulu)

MKE wa Rais wa Zanzibar ambae pia ni Mwenyekiti wa Zanzibar Maisha Bora Foundation Mama Mariam Mwinyi akiwa katika mazoezi ya viungo baada ya kumaliza matembezi ya Uzinduzi wa Taasisi yake katika viwanja vya Mao Zedung na (kulia kwake) Mama Anna Mkapa, Mama Siti Mwinyi na Mama Salma Kikwete na (kushoto kwake) Mama Mary Majaliwa, wakishiriki katika mazoezi ya viungo baada ya kumaliza matembezi ya Kilomita 7 yalioazia katika eneo la kiembesamaki.(Picha na Ikulu)

Post a Comment

0 Comments