Ticker

6/recent/ticker-posts

RAIS DKT.HUSSEIN MWINYI AHUDHURIWA UWASILISHAJI WA MADA KATIKA MAFUNZO YA UPANGAJI WA VIPAUMBELE

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Makatibu Wakuu, Wakurugenzi na Wakuu wa Taasisi za SMZ, baada ya kumalizika kwa kuwasilishwa kwa Mada mbalimbali na baadhi ya Makatibu Wakuu, wakati wa mafunzo ya Upangaji wa Vipaumbele, yalioandaliwa na Taasisi ya Tony Blair pamoja na Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) mafunzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Chuo cha Utalii Maruhubi Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu) BAADHI ya Wawakilishi wa Taasisi ya Tony Blair na Makatibu Wakuu,Manaibu Makatibu Wakuu, Wakurugenzi na Watendaji Wakuu wa Serikali.wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) akizungumza baada ya kusikiliza Mada zilizowakilishwa na baadhi ya Makatibu Wakuu, katika mafunzo ya Upangaji wa Vipaumbele yalioandaliwa na Taasisi ya Tony Blair pamoja na Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) yaliofanyika katika ukumbi wa Chuo cha Utalii Maruhubi Zanzibar.(Picha na Ikulu)

BAADHI ya Makatibu Wakuu na Manaibu Makatibu Wakuu, Wakurugenzi na Watendaji wa Serikali wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) akizungumza baada ya kuisikiliza kwa Mada zilizowasilishwa na baadhi ya Makatibu Wakuu, wakati wa Mafunzo ya Upangaji wa Vipaumbele, yalioandaliwa na Taasisi ya Tony Blair pamoja na Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) mafunzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Chuo cha Utalii Maruhubi Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)

Post a Comment

0 Comments