Ticker

6/recent/ticker-posts

SPIKA DKT. TULIA AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA AFISA MTENDAJI MKUU WA KAMPUNI YA SIGARA TANZANIA (TCC)

Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (Mb), akifurahia jambo na Afisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Sigara Tanzania (TCC), Ndg. Michael Bahan (wa pili kushoto), Mkurugenzi wa mawasiliano kampuni ya Sigara Tanzania (TCC), Ndg. Patricia Muhando (wa pili kulia) pamoja na Meneja mahusiano na Serikali wa Kampuni ya Sigara Tanzania (TCC), Ndg. Derick Stanley (kulia) walipomtembelea leo ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma, Februari 8, 2022.


Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (Mb), akisalimiana na Afisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Sigara Tanzania (TCC), Ndg. Michael Bahan alipomtembelea leo ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma, Februari 8, 2022

Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (Mb), akizungumza na Afisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Sigara Tanzania (TCC), Ndg. Michael Bahan (katikati) pamoja na Mkurugenzi wa mawasiliano kampuni ya Sigara Tanzania, Ndg. Patricia Muhando walipomtembelea leo ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma, Februari 8, 2022

Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (Mb), akizungumza na Afisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Sigara Tanzania (TCC), Ndg. Michael Bahan alipomtembelea leo ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma, Februari 8, 2022


Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (Mb), akiteta jambo na Afisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Sigara Tanzania (TCC), Ndg. Michael Bahan (katikati) pamoja na Mkurugenzi wa mawasiliano kampuni ya Sigara Tanzania , Ndg. Patricia Muhando (kulia) walipomtembelea leo ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma, Februari 8, 2022.

(PICHA NA OFISI YA BUNGE)

Post a Comment

0 Comments