Menejimenti ya Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) leo imekutana na Kamati ya Bunge ya Fedha na Mipango kutoka nchini Uganda wakati kamati hiyo ilipotembelea TRA kujifunza masuala mbalimbali yanayohusu ukusanyaji kodi.
Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Bw. Alphayo Kidata akizungumza wakati Kamati ya Bunge ya Fedha na Mipango kutoka nchini Uganda ilipotembelea TRA kujifunza masuala mbalimbali yanayohusu ukusanyaji kodi.
Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Fedha na Mipango kutoka nchini Uganda Mhe. Keefa Kiwanuka akizungumza wakati kamati hiyo ilipotembelea TRA kujifunza masuala mbalimbali yanayohusu ukusanyaji kodi.
Waziri wa Fedha wa Uganda Mhe. Henry Musasizi akizungumza wakati Kamati ya Bunge ya Fedha na Mipango kutoka nchini Uganda ilipotembelea TRA kujifunza masuala mbalimbali yanayohusu ukusanyaji kodi.
Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Bw. Alphayo Kidata akimpatia zawadi ya kitabu Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Fedha na Mipango kutoka nchini Uganda Mhe. Keefa Kiwanuka wakati kamati hiyo ilipotembelea TRA kujifunza masuala mbalimbali yanayohusu ukusanyaji kodi. Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Bw. Alphayo Kidata akimpatia zawadi ya kitabu Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Fedha na Mipango kutoka nchini Uganda Mhe. Keefa Kiwanuka wakati kamati hiyo ilipotembelea TRA kujifunza masuala mbalimbali yanayohusu ukusanyaji kodi. (PICHA ZOTE NA TRA)
0 Comments