Ticker

6/recent/ticker-posts

MKE RAIS WA ZANZIBAR MAMA MARIAM MWINYI AJUMUIKA NA WANANCHI WA MKOA WA KUSINI UNGUJA KATIKA MATEMBEZI NA MAZOEZI YA VIUNGO VIWANJA VYA MUYUNI C UNGUJA.


MKE wa Rais wa Zanzibar ambae pia ni Mwenyekiti wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation Mama Mariam Mwinyi akiwasalimia Wananchi wakati akiwa katika matembezi ya mazoezi ya Viungo yalioazia katika viwanja vya Mchangamle na kumalizia katika viwanja vya mpira vya muyuni C Mkoa wa Kusini Unguja na (kushoto kwake) Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said(Picha na Ikulu) MKE wa Rais wa Zanzibar ambae ni Mwenyekiti wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation Mama Mariam Mwinyi akijumuika na Wananchi wa Mkoa wa Kusini Unguja na Vikundi vya mazoezi vya Mkoa huo baada ya kumaliza matembezi ya mazoezi yalioazia katika viwanja vya Mchangamle na kumalizikia katika viwanja vya mpira muyuni C kwa mazoezi ya pamoja ya viungo na (kushoto kwake) Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said na (kulia kwake) Mke wa Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mama Zainab Kombo Shaib.(Picha na Ikulu) MKE wa Rais wa Zanzibar ambae ni Mwenyekiti wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation Mama Mariam Mwinyi akizungumza na Wananchi na Mkoa wa Kusini Unguja baada ya kumaliza matembezi yalioendana na mazoezi ya Viungo yaliofanyika katika viwanja vya Mpira vya Muyuni C Mkoa wa Kusini Unguja yaliowashirikisha Vikundi vya Mazoezi ya Viungo vya Mkoa huo.(Picha na Ikulu)WATALII kutoka Nchini Spain wakishirika katika matembezi ya mazoezi ya viungo yalioandaliwa na Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation yalioazia katika viwanja vya mchangamle na kumalizika katika viwanja vya mpira vya Muyuni C kwa mazoezi ya pamoja ya viungo.(Picha na Ikulu)

Post a Comment

0 Comments