Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (Mb), akiongozana na Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Mhe. Juma Homera (kushoto) kwa ajili ya kukabidhi vifaa, mashine na bidhaa mbalimbali vya mikopo inayotolewa na halmashauri ya Jiji hilo kwa vikundi 40 vya Wanawake, Vijana na Watu wenye Ulemavu tukio lililofanyika leo Machi 3, 2022 katika viwanja vya Kabwe Jijini Mbeya, ambapo jumla ya Shilingi milioni 600 imetumika, Kulia ni Kaimu Mkurugenzi wa Jiji la Mbeya, Ndg. Triphonia Kisiga, Meya wa Jiji la Mbeya, Mhe. Dormohamed Issan Rahmat (wapili kulia) na Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Mbeya, Ndg. Alfred Msomba (wapili kushoto)
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (Mb), akikata utepe wakati akikabidhi Magari mawili ya kubebea wagonjwa pamoja na vifaa, mashine na bidhaa mbalimbali vya mikopo inayotolewa na halmashauri ya Jiji hilo kwa vikundi 40 vya Wanawake, Vijana na Watu wenye Ulemavu tukio lililofanyika leo Machi 3, 2022 katika viwanja vya Kabwe Jijini Mbeya, ambapo jumla ya Shilingi milioni 600 imetumika.
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (Mb), akiwasha gari kabla ya kulikabidhi pamoja na vifaa, mashine na bidhaa mbalimbali vya mikopo inayotolewa na halmashauri ya Jiji hilo kwa vikundi 40 vya Wanawake, Vijana na Watu wenye Ulemavu tukio lililofanyika leo Machi 3, 2022 katika viwanja vya Kabwe Jijini Mbeya, ambapo jumla ya Shilingi milioni 600 imetumika.
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (Mb), akizungumza na wajasiliamali mbalimbali (hawapo kwenye picha) kabla ya kukabidhi vifaa, mashine na bidhaa mbalimbali vya mikopo inayotolewa na halmashauri ya Jiji hilo kwa vikundi 40 vya Wanawake, Vijana na Watu wenye Ulemavu tukio lililofanyika leo Machi 3, 2022 katika viwanja vya Kabwe Jijini Mbeya, ambapo jumla ya Shilingi milioni 600 imetumika, Kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Mhe. Juma Homera
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (Mb), akikabidhi mfano wa hundi ya shilingi milioni 60 kwa wajasiliamali ikiwa ni jumla ya pesa yote ya vifaa, mashine na bidhaa mbalimbali vya mikopo inayotolewa na halmashauri ya Jiji hilo kwa vikundi 40 vya Wanawake, Vijana na Watu wenye Ulemavu tukio lililofanyika leo Machi 3, 2022 katika viwanja vya Kabwe Jijini Mbeya.
(PICHA NA OFISI YA BUNGE)
0 Comments