Ticker

6/recent/ticker-posts

RAIS SAMIA SULUHU AZUNGUMZA NA WAZIRI WA UINGEREZA ANAYESHUGHULIKIA MASUALA YA AFRIKA MHE.VICK FORD


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Mhe. Vicky Ford Waziri anaeshughulikia Masuala ya Afrika nchini Uingereza alipofika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akimkabidhi zawadi ya picha yenye muonekano wa mlima wa Kilimanjaro Mhe. Vicky Ford Waziri anaeshughulikia Masuala ya Afrika nchini Uingereza, alipofika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akizungumza na Mhe. Vicky Ford Waziri anaeshughulikia Masuala ya Afrika nchini Uingereza alipofika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan, akiwa katika picha na Mhe. Vicky Ford Waziri anaeshughulikia Masuala ya Afrika nchini Uingereza, Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan, akiwa katika picha ya pamoja na Mhe. Vicky Ford Waziri anaeshughulikia Masuala ya Afrika nchini Uingereza, aliyeambatana na Ujumbe wake Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma

Post a Comment

0 Comments