Ticker

6/recent/ticker-posts

TANZANIA,BURUNDI NA DRC WAANZA MCHAKATO KUMTAFUTA MTAALAMU ATAKAYESIMAMIA UJENZI RELI UVINZA MSONGATI NA GITEGA


**************

Nchi za Tanzania Burundi na Drc zimeanza mchakato WA kumtafuta mtaalamu atakayesimamia ujenzi wa reli ya kisasa kwa vipande vya Uvinza Msongati na Gitega.

Hii inakuja siku chache tangu Nchi hizi zisaini makubaliano ya awali kuhusu kuanza mchakato WA kutafuta fedha kwa wahisani zitakazofanikisha ujenzi huo.

Haya yamesemwa na katibu mtendaji WA taasisi ya Ushoroba WA kati Capten Dioudone Dukundane wakati wa mahojiano maalum na wanahabari.

Post a Comment

0 Comments