Ticker

6/recent/ticker-posts

RAIS DKT.HUSSEIN MWINYI AJUMUIKA NA WANANCHI WA UMBUJI KATIKA SALA YA IJUMAA MASJID ASHURAA

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Naibu Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh.Mahmoud Mussa Wadi (kushoto kwa Rais) alipowasili katika viwanja vya Masjid Ashuraa Umbuji Wilaya ya Kati Unguja kuhudhuria Sala ya Ijumaa na (kulia kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja Mhe.Hadid Rashid Hadid.(Picha na Ikulu) RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na kuagana na Wananchi wa Umbuji baada ya kumalizika kwa Sala ya Ijumaa iliyofanyika katika Masjid Ashuraa Umbuji Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja leo 27-5-2022.(Picha na Ikulu)

WANANCHI wa Kijiji cha Umbiji Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusin Unguja wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) akizungumza na kuwasalimia baada ya kumalizika kwa Sala ya Ijumaa iliyofayika katika Masjid Ashuraa Umbuji leo 27-5-2022.(Picha na Ikulu)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akiitikia dua ikisomwa na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh.Saleh Omar Kabi (kulia kwa Rais) baada ya kumalizika kwa Sala ya Ijumaa iliyofanyika katika Masjid Ashuraa Umbuji Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja leo 27-5-2022.(Picha na Ikulu)

Post a Comment

0 Comments