Ticker

6/recent/ticker-posts

WANANCHI WA HALMASHAURI YA MJI WA MAKAMBAKO WILAYANI NJOME WAPATIWA ELIMU YA VIWANGO


Maafisa wa (TBS) wakitoa elimu ya Viwango kwa wanafunzi wa shule za Sekondari ya Deo Sanga na Maguvani katika halmashauri ya Mji wa Makambako wilayani Njombe. Wanafunzi hao wamesisitizwa kuwa mabalozi wa masuala ya Viwango kwa jamii inayowazunguka.

Maafisa wa TBS wakitoa elimu kwa wananchi juu ya majukumu ya Shirika pamoja na namna ya kutuma maoni/malalamiko pale wanapokutana na changamoto zozote kwenye bidhaa katika stendi na soko la Makambako wilayani Njombe.

Post a Comment

0 Comments