Ticker

6/recent/ticker-posts

ANDER HERERA NDANI YA SERENGETI**************


Mchezaji wa klabu ya PSG (Paris Saint-Germain Club) na Timu ya Taifa, Ander Herrera ametua kwenye Uwanja wa Ndege wa Seronera uliopo Hifadhi ya Taifa ya Serengeti akiwa ameambatana na Mkewe Isabela Collado kwa ajili ya mapumziko mafupi kufurahia mandhari ya hifadhi hiyo bora duniani kwa sasa.

Akizungumza baada ya kutua ikiwa ni mara yake ya kwanza kutembelea Tanzania amesema kuwa wamefurahi sana kuwepo Serengeti na wanatarajia kuona namna Nyumbu wanahama kutoka eneo moja kwenda lingine lakini pia kuwaona wanyama wakubwa wakiwamo tembo, kifaru, simba, chui na nyati.

#MwananchiUpdates

Post a Comment

0 Comments