Ticker

6/recent/ticker-posts

RAIS SAMIA SULUHU AKUTANA NA WAJUMBE WA BODI YA WADHAMINI YA TAASISI YA MWALIMU NYERERE


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Mwenyekiti wa Bodi ya wadhamini ya Taasisi ya Mwalimu Nyerere Mzee Joseph Butiku ambaye aliambatana na wajumbe wa Bodi hiyo, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 29 Juni, 2022.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika Picha ya pamoja na Mwenyekiti wa Bodi ya wadhamini ya Taasisi ya Mwalimu Nyerere Mzee Joseph Butiku ambaye aliambatana na wajumbe wa Bodi hiyo mara baada ya mazungumzo yao, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 29 Juni, 2022.

Post a Comment

0 Comments