Ticker

6/recent/ticker-posts

YANGA SC YAZIDI KUONYESHA UBABE, YAICHAPA POLISI TANZANIA FC 2-0
***********,*

NA EMMANUEL MBATILO,DAR ES SALAAM

MABINGWA wa Ligi Kuu Tanzania Bara NBC, Yanga imeendelea kutoa dozi kwenye lihi hiyo baada ya leo kuichapa timu ya Polisi Tanzania kwa mabao 2-0 mchezo ambao ulipigwa kwenye dimba la Benjamini Mkapa Jijini Dar es Salaam.

Mchezo huo ambao ulikuwa wa 28 kwenye ligi hikiwa Yanga Sc ikicheza bila kupoteza mchezo wowote huku mshambuliaji wao Fiston Mayele akishindwa kupachika bao kwenye mchezo wa leo.

Mabao pekee ya Yanga yamewekwa kimyani na Feisal Salum "Fei Toto" pamoja na Chico Ushindi ambapo mabao yote yamefungwa kipindi cha kwanza.

Post a Comment

0 Comments