Ticker

6/recent/ticker-posts

BALOZI WA TANZANIA NCHINI UINGEREZA DKT. ASHA-ROSE MIGIRO ATEMBELEA KAMBI YA TIMU YA ZANZANIA KWENYE MICHEZO YA JUMUIYA YA MADOLA JIJINI BIRMINGHAM

Balozi wa Tanzania nchini Uingereza Dkt. Asha-Rose Migiro akifurahia zawadi zilizoandaliwa na wanamichezo wa Tanzania kwenye Michezo ya Jumuiya ya Madola alipowatembelea katika kijiji cha wanamichezo katika Chuo Kikuu cha Birmingham leo Jumatatu Julai 25, 2025
Balozi wa Tanzania nchini Uingereza Dkt. Asha-Rose Migiro akiwa na wanamichezo wa Tanzania kwenye Michezo ya Jumuiya ya Madola alipowatembelea katika kijiji cha wanamichezo katika Chuo Kikuu cha Birmingham leo Jumatatu Julai 25, 2025
Balozi wa Tanzania nchini Uingereza Dkt. Asha-Rose Migiro akikaribishwa na Bw. Henry Tandau, Makamu wa Rais wa Kamati ya Olimpiki Tanzania na Kiongozi wa Msafarta wa wanamichezo wa Tanzania kwenye Michezo ya Jumuiya ya Madola alipowatembelea katika kijiji cha wanamichezo katika Chuo Kikuu cha Birmingham leo Jumatatu Julai 25, 2025

Post a Comment

0 Comments