Ticker

6/recent/ticker-posts

MAKAMU WA RAIS DKT.MPANGO AWASILI MKOANI DODOMA


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa. Dkt. Philip Mpango leo tarehe 24 Julai 2022 akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Dodoma na kupokelewa na Mkuu wa Mkoa huo Mhe. Athony Mtaka akitokea Mpanda mkoani Katavi baada ya kuhitimisha ziara yake ya kikazi.

Post a Comment

0 Comments