Ticker

6/recent/ticker-posts

RAIS DKT.HUSSEIN MWINYI AREJEA NCHINI

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akiteremka ndege ya katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi pamoja na Maafisa mbali mbali akitokea katika nchi ya Burundi kumuwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Mama Samia Suluhu Hassan katika sherehe za maadhimisho ya miaka 6 ya nchi hiyo zilizofanyika leo.[Picha na Ikulu].Tr 30 juni 2022.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi wakati wa mapokezi akiwa na teremka ndege ya katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar akitokea katika nchi ya Burundi kumuwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Mama Samia Suluhu Hassan katika sherehe za maadhimisho ya miaka 6 ya nchi hiyo zilizofanyika leo.[Picha na Ikulu].Tr 30 juni 2022.

Post a Comment

0 Comments