Ticker

6/recent/ticker-posts

RAIS DKT.HUSSEIN MWINYI ATEMBELEA MABWAWA YA UFUGAJI SAMAKI PUJINI KIBARIDI WILAYA YA CHAKECHAKE PEMBA

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akitembelea Mabwawa ya Kufugia Samaki ya Kikundi cha Ushirika cha Milk Fish Farm Pujini Kibaridi Wilaya ya Chakechake Pemba, akipata maelezo kutoka kwa Mwenyekiti wa Ushirika huo Bw. Ahmed Salum Issa (kushoto kwa Rais) wakati wa ziara yake katika Mkoa wa Kusini Pemba leo 27-7-2022, kutembelea Miradi ya Maendeleo katika Mkoa huo.(Picha na Ikulu)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akivua Samaki katika bwawa la kufugia samaki la Kikundi cha Milk Fish Farm Pujini Kibaridi, alipotembelea Mradi huo, akiwa katika ziara yake kutembelea na kukagua Miradi ya Maendeleo ya Mkoa wa Kusini Pemba leo 27-7-2022.(Picha na Ikulu)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akipata maelezo ya Kitaalamu ya ufugaji wa Samaki kutoka kwa Mwenyekiti wa Kikundi cha Ushirika cha Milk Fish Farm Pijini Kibaridi. Bw, Ahmed Salum Issa, akiendelea na ziara yake katika Mkoa wa Kusini Pemba leo 27-7-2022.(Picha na Ikulu)

Post a Comment

0 Comments